
Vasha here we come !! Comrades around Naivasha this coming weekend from kesho rally iko liive!! Hii ni chance ya kupiga biz hizo area za Vasha ,Hells gate .Chips,smokie, soft drinks nq kibadaski inaweza mbaya sana . Then carwash wanaweza coz ile vumbi iko hiyo area ni noma . So meshers wenye mko hizo area hii ni chance


0
0
0