
Venye hii life inanipeleka naona nikianzisha YouTube channel ya reaction videos. Nikue nawatch content then giving my honest reviews. Na songs pia, from bongo to hip-hop to some locals.Plus nmeona hii haitaki kufikiria sana. Ata you can do more than 20 videos a day. And ni fun siezi boeka, natafuta 2 ama 3 partners hapo wa kuchachisha. Niko na dream ya kukua kama Mr. Beast buana. Ebu mnipee honest reviews and encouragement and anything else I might need to know.

0
0
0