
Veterans wa content creation especially tiktok najua wanaeza kuambia the importance of lighting their videos. You can literally transform your dingy and dull videos to something magical with just a ring light. Utakua hapo unashangaa buana mbona videos zako hazijanasa audience kumbe ni ju zinakaa poorly lit. Before uanze kujihurumia and kufikiria quitting, acha nikushow shida sio wewe, infact content yako iko tops lakini shida ni video ni poor quality Kuna ring light unaeza attach kwa simu kama mfuko yako inakataa a bigger one on a stand. Lakini zote unaeza zipata na below 2k.


0
0
0