
viatu vya madem na watoi viko na market sana hakikisha ni maslides latest and the dolls should be more cheap then attractive make sure uko place yenye ni rahisi kupata wateja then price lazima iwe favorable make sure unatarget the right buyers Fanya utafiti wa soko ili kujua nani ni wateja wako wakuu.Hakikisha viatu ni latest and good . Watu wanapenda bidhaa zenye ubora na zinazovutia.Kama utauza mitandaoni hakikisha una strategy nzuri na pia kama ni dukani make sure liko eneo lenye watu wengi and make sure competitors wako wanauza nini na kwa bei gani.Hakikisha bidhaa zako zina tofauti nzuri na bei yako inavutia utaweza kujenga biashara imara .#shoeBiz
0
0
0