
Vijana Tuamkeni! Tutoe mchango wetu wa kupunguza gharama ya maisha, sababu; ✔Kilimo sio ushamba ✔Kilimo sio utumwa ✔Kilimo sio kwa ajili tu ya Wastaafu ✔Kilimo sio Uchafu ✔Kilimo sio adhabu Tujiunge kwa kundi letu la "AgriBiz" tujifunze kilimo cha kisasa, kilimo m'badala, tuelimishane na kujijenga.
0
0
0