
Vijana ukitaka kusurvive hizi streets make sure you have the ability to reset fast. Dont let any setback put you down for long. Hizi streets utapata losses na mashida but how fast can you come back on your feet. Kulia na kutaka uonewe huruma ukiambiwa pole na watu haitakusaidia
0
0
0