Vijana umaskini ni mbaya. Nmetoka kwa nyumba kuenda bike ride tigoni sai narudi kwa nyumba nikiwa nmejam. Vijana wadogo wako na gari zingine kubwa kubwa unashangaa. Mwingine ako hapo na baddie wake wameketi nyuma ya their subaru na fishing rod kwa hako ka lake. Pesa iko na aura
0
0
0