
š Vijana wengi bado wanaskuma kupata job za heshima na sustainable š
Barriers ni mob ā hakuna connection, mentorship iko chini, CV hazijibu, na zingine job zinakuja na malipo za peanuts.
š Weh, kwa ground unafeel nini ndio biggest barrier kwa youth kupata job fiti na sustainable? Drop maoni zako hapa šš½, wacha tupige story na tushare ideas juu hii kitu inahusu wote.

0
0
0