
Vijana wenzangu Nipee masikio yenu. Huu ni Tuko mwaaka 2021 ambapo 2022 ni uchaguzi Mkuu kwa inchi yetu ya Kenya. Kifumbi tayari kimeanza. Lakini Jameni mbona sisi vijanaa tunatumika vibaya na viongozi wetu? Tukiwa shule tuliitwa viongozi wa kesho pia tegemeo. Hebu angalia taifa letu dogo sana. Wamarekani wenye taifa kubwa huwezi sikia wakija makabila yao au kutambuana kupitia makabila Hamna kabisa. Tanzania na uchaguzi wao Hamna ukabila. Yaani sisi taifa lenye Milioni vidole tunajua kupitia makabila? Hivi mbona tumepotea hivyo? Vijana tunapewa 500 ufanye furugu kule umeacha wazasi wakitafuta karo uende shule, Wewe huyo unapatikana kwa mandamano unadungwa risasi kwisha. Just pesa na ukabila. Komesha ukabila ndo tutakuwa viongozi wa kesho bila kusingatia hilo itageuka waliopita. Asante Mungu awabariki zaidi.