
Vile corona ilifika Kenya tu hizi, manze life ya youths wengi ilisimama. Nikiwa mmoja wao, lakini kupitia MESH I can smile again. Yaani MESH imenihelp Sana na ideas za kuface life no matter what! Ideas za kuendeleza biz na hata kupatana na more experienced guys kwa hustle unafanya. To generalize, MESH has brought back a smile to many youths after the strike by the Covid-19 virus. MESH stay forever, my wish #sisiNiMESH
0
0
0