
Vile mnajua hapa MESH, si hujengana kwa njia tofauti kama ku-help members na advice wanahitaji kuinua hustles zetu.
Leo mmoja wetu, #BeatriceMundia anahitaji usaidizi.
"Am Beatrice Mundia. I do kids Entertainment & I have worked with schools for over 10 years. I have grown from hiring Entertainment equipment's to owning some and still going on. Ever since Covid-19 came nimekua hit hard. Am really suffering juu saa hii hakuna vile naeza chapa events na Schools mpaka March na labda restrictions zitakua extended.
Tafadhali I need members advice, ni ideas /strategy gani naeza apply ku-cope na hii situation?"
#GiveAdvice #GetAdvice #Tujengane
0
0
0