Vile tunapitia Hali ngumi ya kifedha na njaa , bizna nazo hazisongi vile kila mtu anadai hana pesa , je ni kila mtu anapitia haya ama ni kwangu tu ?