
Vipi beloved MESHers wa Mtush, hopefully mko fiti kwa hustles zenu.
Last time we talked about benefits za kuuzia Mtush kwa Open Air Market, tulisema it helps biz yako kukua more visible to customers among other things.
However, leo ningependa we talk about the possible Disadvantages of Open Air Market strategy, tuchapiane kwa comments section below 👇
0
0
0