
Vipi, kesho Thursday 2PMπ ndani ya #MESHkonnect Live showπ§ποΈ itakua motoπ₯ kuruka π! Nani alisema ma-youths hawatoboi #Farming?π±π π°π Hapa MESH Community tuko na wasee wameomoka kupitia #Farming. @[Captain Ashok] ata-host @[Justus Babz] na @[VINCENT OKETCH] sharing with the Community vile wame make it in farming. Make sure uko ndani ya MESH hio time na #Questions, #Advice ,#Suggestions kuhusu Farming.
0
0
0