
Vipi MESH Community! Mi naitwa @[Jackson Wambua] na #Hustle yangu ni #Kinyozi ambayo nilianza back in 2012.
Nothing feels good than kua self-employed. I really enjoy what I do and I enjoy my work. Biz mob za KinyozI zilifunga hii time ya Covid lakini nawapa #Advice moja tu especially kwa watu wako kwa service industry. Kazi ni MPANGO. Nilianzisha system ya #BookShave ambapo customers wana-book kunyolewa in advance halafu naenda kwa mitaa yao nikitumia bike yangu.
It's been challenging but I thank God nilipata New ways za kufanya #Biz yangu.
Need any #Advice? Tuchapiane hapa kwa comments.
0
0
0