Vipi, mesh kweli wasee hustle Sana kitabo upate biz poa unaeza stay hukihustle pekee, Kama mimi I remember 2015 niliaza kazi ya waiter kwa bar dio nikaeka kitodogo kidogo Hadi nikafugua biz ya gas 2016 enye nimestick nayo sai kusema ukweli hustle wezagu usikupe Moyo kidogo unapata kinaeza jaza biz imgn na hustle utoka from no where bt we dhankz mesh for support yenye wanatupea sai Kama youth coz na ona wanaboost Kila msee Bora huwe active.
Any Swari ask kwa comment nitareply
0
0
0