
Vipi mesh nimekua exiteded sana na respond ya customer wangu,sikua na expect from what she said.Sai ametuma msee wa bike akamie products zingine plus ameniconect na wasee wengine.Asante sana kwa hii platfom na nimekua humbled sana kua member wa mesh.Nikiget hiyo thao nitaongeza stoke nayo.Asnte sana


0
0
0