
Vipi MESHers!! š Another week to make a difference! šŖšæ Leo tunadai kujengana na #CreativeTips kwa #Biz, it doesn't matter the industry, siku hizi, creativity kwa Biz ni lazima! The more #Creative you are! The more customers you get!! šÆ
Top 3 tips to remember ššæ
ā© Always have a professional mindset š§. Basically, kua na schedule na activities za kila siku well sorted an organized. Ukiwa organized, you can get more work done! ā© Hakikisha uko mbele na mambo ya technology š³. Thanks to #Tech siku hizi, most activities can be done on phone. Kaa rada na new trends, kujenga skills zako na the digital world. ā© Always ask for feedback. Ni muhimu kujua vile wasee kwa ground wanadai. Skiza challenges zao na tafuta ways za ku-improve services kila siku.
Unaeza ongeza tip gani?
Share na sisi!! š Photo credits: @[Kivaya ā]
