
Vipi meshers,, it's a good morning indeed,,,so leo tu learn kitu moja hapo kuhusiana na deer,,, first deer kwa kiswahili inaitwaa KULUNGU.. Nani alikuaa anajua hii??So anytime unaona imetoa tounge out this is because,deer with a fever (often caused by Epizootic Hemorrhagic Disease or EHD/Bluetongue) will have their tongue out if the infection is severe.some research say the deer might be in need of water. So ukionaa hio usitoroke is either of the two reasons,,,, Good day meshers.

0
0
0