
Vipi MESHers? Nimekuja kupeana feedback. A few weeks ago niliUliza advice abt stating biz ya Mali Mali, nikaAmbiwa nijipeleke Kamukunji Nai, So that's what I did, niliEnda huko nakashinda nikiZururura nikaBuy stock kidogo ya kuAnza. This is what I learned; *Ukitaka sandals na crocks bei ya wholesale kuna shop iko opposite trade center mahali inakaa underground parking inaItwa 'Davis' *Ukipata plastics kama basins na buckets bei poa enda trade center ulizia duka ya 'Manchester' *Ukitaka all kinds of toys na stationery enda bazement teremka huko chini. Mambo ya kubeba usijali all these shops watakubebea hadi kwa yule transporter utachagua ,na wako affordable, gunia moja kubwa nilikuwa nalipa 150/= Hadi Nyeri, Thanks guys tuendelee na hustle!
0
0
0