Vipi MESHers wangu wa nguvu, najua wasee wengi wa Mtush hutumia open air market, ile system ya kuuzia place open not enclosed in shops or stalls, nadai tuchapiane kwa comments section advantages za kuuzia kwa Open air market
0