
Vipi MESHers wenzangu,i just joined.Now mimi ni contractor dealing with house finishes ranging from,Tiling,Kuweka nyumba vyoo,fittings(Doors,wardrobes,kitchen cabinets,wall units etc) kuweka Gypsum Ceilings and other designs,kuweka wooden floors,Lightings,kuosha nyumba after construction is complete and also kuweka Biodigesters.So watu wangu,hapa tumekuja kusaidia,unaweza kuwa unaseek one of these services ama unaskia mtu anadai,u can always connect them to me or reach me out.Tupigane support wasee 💪💪
0
0
0