
Vipi Miamba, msimu Huu wa sheree na tuwe makini sana, kama wasafiri mweke Mungu na umwachie yote.
Tunakuhitaji kesho na Siku za mbele pia. Leo tumepoteza wanafunzi wetu kwa ajali, kama Meshers ni freshi tutoe sauti na pole zetu kwa familia,jamaa na marafiki wa waliopoteza wapendwa wao. Mungu na Awalinde wote.🙏🙏🙏
0
0
0