
Vipi, mimi kutokana na experience chenye naeza shauri msee akiaza biz ni kwamba, kama unaaza biz jitegemee, anza na chenye uko nacho, usichukue loan ama kuomba omba staff kidogo kidogo maana izo zitakifail kama umeaza kuinuka na ivo dio msee uuchoma biz,e.g unachukua loan kuaza hoteli, mara ya kwaza biz haitakua imeshika, soo loan inaisha kabla biz ishike vizuri,then after imeisha dio biz inashika, kabla haujamake profit migi, msee wa loan anakam na mahasira juu ameona umeaza kugrow, unarudi step 1 soo wegi wakiona ivi wanaachana na biz,, mimi mwenyewe niliaza kuuza viatu na 500, sasa ivi ngunia imejaa viatu, juu ya kujiamini na chenye nilikua nacho, soo long as uko na spirit ya biashara jitume everything is possible, only passion determines, #marketting#mesh