
Vipi tech bros and Queens. Niko na Tisho safi za Tech ziko kwa niche ya streetwear where custom mesaages zinakuwa hidden kwa the binary code yenye iko displayed. Hizi tisho ziko kwa series 1 of many yenye inaitwa decrypt. Cheki pic ukidai tisho ama hoodie ikiwa in this style niambie.
0
0
0