
Vipi Wadau, did you know that Flamingo Radio ndio radio ya kwanza kucome up with innovative ways za kuskiza from anywhere in Kenya bila kutegemea FM signal ama hata internet connection? Unadial tu 81390 kwa Safaricom au 30190 kwa Airtel alafu utaweza kuskiza shows noma noma bila stress. Unangojea nini?? Dial now tujibambe
0
0
0