
Vipi wadau hope tuko salama,,,,, Yesterday mliona vile Game ilieendaa,,,Game ilikuaa moja safi sana ,,, France walipigwaa na bado wakataftaa ball kwa uwanjaa mbaya sana,,,, Spain first team kuingiaa finals,,, Leo Netherlands VS England,,, Nani atakuaa finali vs Spain,,,,leta prediction zako hapo comment section,,,,na Unataka team gani ikuee champions wa EURO..
0
0
0