Vipi wadau kama uko hustle hii wakati ya Covid na unapata yako kidogo shukuru Mungu. Mimi nimekua kwa biz ya catering na ndio ilikua inaanza kupick vizuri end of 2019 but since corona ikuje ilidisrupt everything and my source of income ikakatika. I have tried online sales za viombo na pia deliveries za food but imekua challenging. Loss of income imefanya niingie kwa madeni na pia sahii hustle hazipatikani. Ni hustle gani unaona inaweza jipa at this times na iweze kunisaidia kuget back on my feet?
0
0
0