
Vipi wadau, kuna the new finance bill imepitishwa na kama kawa @[Team MESH] ime-comethrough to explain to all MESHers on the new government changes via this post https://meshlife.page.link/... tusijipate matatani.
Usikose kulipa ushuru coz gava iko na high fines and penalties wakikupata, check hio article ya MESH ujue the new areas zenye Gava imeweka changes .
0
0
0