
Vipi wadau. Last year September niliget chance ya kufanya job kwa fast food ya beste yangu under agreed terms. But Jan kidogo tukakosana na nikaamua nitajitoa ju sikufeel comfortable kumfanyia job anymore. Bt in the period nilikua hapo, kuna vitu kathaa nlitoka nimelearn. 1.If utafanyia beste job, work under written contract. Hio itasaidia in future incase things go south. 2.If biz ni yako (ama still employed) kwa fast food/restaurant jaribu kumaintain usafi. Bizna chafu huattract rodents ka panya na mende na hizo vitu huchoma picha vibaya sana. 3.Customers hupenda vitu fresh. Ndio unaeza uzia customer chipo ukiona hatajua kama ni za jana ama ni fresh, but macustomer hujua, na in the end ukiuzia customer kumi chipo si fresh, ebu piga hesabu through hao kumi, ni wengine wangapi utakua umepoteza. Usisahau bizna it's all about word of mouth. Ukiserve customer mmoja fiti, nnext akirudi, ye hurudi na customer mwingine, na hivyo ndio bizna yako itagrow. 4. Kitu muhimu ni God FIRST. Remember vile S. O. C. Walisema,, "bila Yesu, wewe full stop". God ndio kila kitu kwa life yetu, so ukimweka kando pia yeye atakueka kando adi ile siku kitaumana uanze kumtafuta tena..