Vipi wadau, ni huku tu ndio biz iko chini or pia nyinyi huko? Na wenye biz zenu ziko fiti please tuchanue mnatumia tips zipi hii January jamani.