
Vipi wadau, ukiwa kwa hii hustle ya Forex pesa haifai kukupea stress. The most important thing ni you perfect your skill and work with what you have. Take a thousand demo trades hadi uive. Then ingia mdogo mdogo na real account na kitu kama $20 hadi upate confidence then scale in. For those asking vile utaanza. Pm I will share with you an introduction PDF for beginners.
0
0
0