Vipi wadau, uko na mentor au msee huwa anakushauri ikikam kwa mambo na biashara? Cheki vile mentorship inaweza leta growth kwa biz.