
Vipi wadau, we are diving deeper msee anaanza Mtush aelewe poa kila kitu about hii biz. From leo I'm introducing another sub topic tuongee kuhusu TYPES OF MTUMBA BALES 🙂, according to me nimepata ziko tano 🤌, acha tuchambue one by one .
(a) Grade D Bales Hizi ndio zile bei nafuu sana azn the cheapest kabisaa shida hazina profit fiti coz msee huuza Kwa 'bei ya kutupa' azn throw-away price. I advice MESHers don't go for this type of bales.
Tupatane Friday niwachapie the next type of Mtumba Bale, meanwhile upvote, comment and share this knowledge Kwa mafriends, incase of any questions feel free kuuliza Kwa comments section.
0
0
0