
vipi wahesh, me naitwa joash onon ama naeza niita pantha kwa jina ya social media, me ni husler eldoret town, na run cyber na nauza phone accessories. pia ka unaitaji kubuy sound system from china pia unaeza niget. first napass gratitute kwa mbogi mzima ya shujaaz, pick up to dj b umekuwa inspirational sana. niko happy kuwa huku
0
0
0