
Vipi Wakenya wenzangu,hop mko poa so far,nko na swali moja ningependa kuwaliza, najua tuko watu wa tabaka mbali mbali,miaka tofauti na kadhalika,swali ni je? Nini hutuleta pamoja kama Wakenya kulingana na maoni yako, please let me know in the comments section 🙂
0
0
0