Vipi wakuu. Nmekua kwa biz ya Restaurant pale mashinani for about a year now. Ni ideas gani mnezanijenga za kuimprove sales zatei?
Also, Anyone good with creative decorations za either drawings ama DIY tunezabonga kando...