Vipi wanabiashara wenzangu, as we start this new week, let's avoid unnecessary cat and mouse games na wasee wa Kanjo, lipa ushuru upige biz yako na amani. Nawatakia wiki njema.