
Vipi wasee. Hapa kuna #MaStudents?🎓 Ofcoz tuko kibao. Now that Learning Institutions zimefungwa life lazima iendelee. Mi naitwa @[Rhodah Gatwiri]. Nataka kuchanua fellow students vile tutachapa #Hustle hii time kuna new regulations za ku-contain spread ya #Covid-19
0
0
0