
Vipi wasee Josephine hapa,biashara ilikuwa down nashukuru mesh walituokolea na sasa nimeongea stock ya goods zina sell faster .Nashukuru tusife moto najua Corona imekoroga biashara mob ndo kwa maana tuko hapa #Mesh fam tujengane.Je wewe utapitia changa moto ipi?
0
0
0