Vipi wasee. Msee anezahandle aje customer rejection ukifanya sales? Hiyo kitu inakuanga tricky sana. Ni ngumu sana kuimanage bana