Vipi wasee,nani anajua msee anaweza supply kuku kienyeji na mayai ya kienyeji pia...nataka kuanza hii biashara