Vipi watu nguyaz. Manze hii wiki imepita imekua tricky kiasi kwanza kulipa loan. Wale wamemaliza kulipa loan kwani ni siri gani mko nayo mnishow.