
Vipi watu wa nguvu. Nimetry kuapply loan na siezi. Nilidhani maybe shida iko kwangu kumbe ni juu opportunity yenyewe ni kama inatupita. MESHers wenzetu wamedelay kulipa loans na tunaelewa ju sahi life imekua hard sana. Lakini pia ni tabia fiti kuomba grace period na kutry kulipa mdogo mdogo ili wengine pia wabenefit. Mesh iko all about kujengana na si kujijenga tu kivyako. Imagine sasa hawa wasee wa ENEZA wakiamua wasitusaidie tena? Na vile imenijenga kwa biashara
0
0
0