
Vipi watu wangu wa Mesh..leo nataka kuwapea tips kuhusu Garlic Farming juu ya hii season imeanza yenye watafiti wamedai itakuwa long rains... Garlic ama Kitunguu saumu imekuwa product extra ordinary sana kwani imemaintain prices za 150+ per kg in the 19th & 20th century na this time demand imeincrease mostly kwa field ya medicine so production inahitajika iongezeke pia...leo nataka niwajenge na free advice ya vile utaanza na usucceed poa sana...Stay tuned... #Agribusiness
0
0
0