Vipi watu wangu wa Mesh,tunazidi kusonga mbele na hii Covid19 tuko hapa kusaidiana ndio atilist tuweze kupigana na hii Covid19,so God bless Avery one kwa mesh community.