
Vipi Watu wangu wa Nguvu ?
Kila mdaa mimi hufikiria kuhusu kura mimi hufikiria kuhusu 2007-2008 kilichotokea Kenya. Wanangu this time ni about sisi Ku make change na difference.
"Politics is more important to leave it to the politicians." Ningependa Ku share na nyinyi stori flani hivi ya Ma Youth wa Changamwe na wanangu huku wameamua ni Amani kipindi hiki ebu tusimame sote.
Mungu anasaidia.
0
0
0