Vipi watu wangu wa nguvu, naitwa Amo nko na familia but nilisimamishwa job 2019 after hapo sijaweza kupata job kabisa. Mimi pia ni msanii wa gospel nliamulia kufanya youtube ndio maybe niwe kama wasanii wengine. Youtube sahii ndio natry atlist iwe hustle yangu. Tafadhali naomba mnisaidie kusubscribe na kushare content yangu tafadhali. Sina hustle
Ingia youtube search Holy Pza unisupport tafadhali
0
0
0