Vipi wenzangu ni Shaker apa najaribu tu kusaka mboga. Mii ni hockey player na ninapenda sana watu wakinijoin so nauza equipments za hockey kama hockey sticks, shinguards, knackleguards, GK kit, balls. Located in Thika but bado sijapata base specific ya kupigia biz sasa nafanya free deliveries in Nairobi and Kiambu County
0
0
0