
Vitabu viwili au tatu nimegundua mtu anapaswa kujua na kuelewa a-z ni Bibilia na/ ama Quran na Constitution ya nchi yake😂. Vitu vingi tungeepuka kama wananchi na kama wa religions tofauti na hakungekuwa na utofauti🤔.
Two days ago, 27th August 2025, His Excellency President Ruto (Nisirushiwe mawe woye😅, nampea tu heshima zake kulingana na position yuko)- alideclare ni siku ya katiba, in honor of 15 years tangu 2010 Constitution kuundwa, ama ni kuammend.
Umewahi jaribu kuisoma? Chapters ngapi unatambua? Ama wewe ni kama wao akina sisi wenye tulijaribu kusoma usingizi inakuja ukijiambia bora uhai, kaende kaende, heri nisome hot 🥵 novel fulani😂?

0
0
0